Na Christopher james
Dar es Salaam
Diwani wa kata ya kivukoni ameitaka halimashauri ya JIJI la Dar Es Salaam kuhakikishia wanawapatia ofisi ili kuwarahisisha kutatua kero za wananchi kutokana kutokuwa na ofisi katika kata hiyo kwa muda mrefu
Akiongea kwenye mkutano wa Baraza la madiwani jijini la dar mkutano wenye lengo la kujadili mipango na utekelezaji wamiradi mbali ikiwemo miradi ya barabara ya tarura diwani wa kivukoni mh Sharik choughule asema wameomba kwa muda mrefu kupatiwa ofisi na Halimashauri hiyo lakini mpaka sasa hawana ofisi suala linalochangia kushindwa kutumiki wananchi kwa ufasahaa
kwa upande kaimu mkurugenzi wa jiji la Dar Es Salaam Tabu shaibu amesema katika maeneo ambayo halmashauri hiyo imepanga kujenga ofisi kumejumbwa na changomoto kuwa maeneo ya wazi na masuala kiusalama kutokana na unyeti eneo la kivukoni ilawameomba ili wawezekupatiwa ofisi miongoni mwa ofisi zilizohamia dodoma