Kwa mujibu wa MARCA Barcelona wako mbioni kuwaacha wachezaji tisa katika kipindi cha dirisha la usajili majira ya joto.
🇳🇱 Frenkie De Jong
🇳🇱 Memphis Depay
🇧🇷 Neto
🇫🇷 Clément Lenglet
🇺🇸 Sergiño Dest
🇪🇸 Óscar Mingueza
🇫🇷 Samuel Umtiti
🇪🇸 Riqui Puig
🇩🇰 Martin Braithwaite
Credit ( FahamuSpoti)
Tags:
MICHEZO