Majeruhi tisa katika ajali iliyohusisha magari matatu jiji Arusha



Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi 


Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha amethibitisha kutokea wa Ajali iliyohusisha magari matatu ambapo ambapo amesema magari ajali hiyo imetokea jana usiku majira ya tatu  na robo na kuhusisha gari no T.673 AXB aina ya scania lori yenye tela namba T.464 AWZ  likiwa nacshehena ya mahindi likiwa linatokea Arusha kwenda namanga liliyagonga magari mengine matatu madogo ambayo ni T167 BRX aina ya nissan caravan.

Kamanda masejo amesema katika ajali hiyo imesababisha majeruhi tisa ambao wanapatiwa matibabu katika hospital ya rufaa ya mkoa wa Arusha Mount Meru kwa matibabu zaidi 



Post a Comment

Previous Post Next Post