WAZIRI BALOZI DKT CHANA AMSHUKURU RAIS SAMIA





Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuiinua sekta ya Maliasili na Utalii kwa kutoa  fedha  za miradi inayotekelezwa na Wizara, kuhamashisha shughuli za Utalii  na kuweka Mazingira rafiki ya uwekezaji hapa nchini.

Waziri Balozi Dkt Pindi ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na wakazi wa Njombe baada ya  kutembelea Kiwanda cha kuchakata mazao ya Misitu cha TANWAT.

Post a Comment

Previous Post Next Post