CHANGAMKIENI FURSA KWENYE SEKTA YA MALIASILI NA UTALII




Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewashauri wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa zilizo kwenye sekta ya Maliasili na Utalii kwa kuwa sekta hiyo chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan imejaa fursa nyingi zenye soko la dani na nje ya nchi.

Waziri Balozi Dkt.Pindi Chana ameyasema hayo leo  Agosti 11,  2022 wakati wa ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mjini Makambako Mkoani Njombe.



Post a Comment

Previous Post Next Post