Dkt. Kikwete Ashauriana na Viongozi wa Benki ya Dunia Kunusuru Elimu


Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Maendeleo ya Watu walipokutana makao makuu ya Benki hiyo jijini Washington DC, Marekani. Kulia ni 
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine Hogan




Post a Comment

Previous Post Next Post